KIZUNGUZUNGU YA ENOCK JONAS YAITIKISA IRINGA.
mwimbaji enock jonas katika picha
Ni ujio ,mpya wa mwimbaji wa nyimbo za injili tanzania enock jonas umewatikiza wakazi wa nyanda za juu kusini baaada ya kuja na albamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wakazi hao
akizungumza na mtandao huo mmoja kati ya wakazi wa iringa aliyenaswa na mtandao huu akinunua nakala ya albamu hiyo ya kizunguzungu amesema amevutiwa sana na uimbaji...
Posted by Unknown
Posted on 9:30 AM
with No comments
MWIMBAJI MKONGWE WA GOSPEL NA MWIGIZAJI WA FILAMU TANZANIA JENIFA MGENDI ALI MAALUFU DATI SASA KUJA KIVINGINE NA FILAMU MPYA ,ALBAMU MPYA, AKIWASHIRIKISHA WAIMBAJI WAKONGWE KAMA VILE MCHUNGAJI ABIUD MISHOLI.
JENIFA AKIWA KATIKA POZI
newz
Akizungumza na mmiliki wa mtandao huu hivi karibuni mwimbaji huyo amesema kuwa anatarajia kuingiza sokoni muda sio mrefu filamu yake mpya...
Posted by Unknown
Posted on 8:57 AM
with No comments
MCHUNGAJI PETER MSIGWA AENGULIWA KUWANIA UENYEKITI WA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI
Add caption
KUELEKEA
UCHAGUZI WA CHADEMA IRINGA MJINI: Habari zisizo rasmi kutoka eneo la chumba
cha mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zimedai kwamba Mchungaji
Peter Msigwa ameenguliwa kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
Ameenguliwa kwa kile kilichoelezwa na
wapashaji wetu kwamba anachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza makundi ndani ya
chama hicho.
Makundi hayo yanaelezwa kukiwekwa rehani
chama hicho wakati kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Pamoja na Mchungaji...
Posted by Unknown
Posted on 7:07 AM
with No comments
AJALI YA GARI YAUA WATU 6 NA KUJERUHU VIBAYA WENGINE 18 HUKO MKOANI RUVUMA
WATU
sita ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri kwa basi kutoka Mbinga mjini
kwenda makao makuu ya wilaya mpya ya Nyasa, mkoani Ruvuma wamefariki
dunia na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya gari hilo walilokuwa
wamepanda, kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo.
Akizungumza
na Mwandishi wa habari hizi, Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Mihayo
Msikhela, alisema gari hilo lenye namba za usajili T 759 BVR aina ya
Nissan Civillian lilipata ajali Agosti Mosi mwaka huu, majira ya saa
10:30 jioni katika...