PICHA ZA GRADURATION YA FORM SIX MWEMBETOGWA ZA RUTH MASSABA
MSHUKURU MUNGU KWA KUKUWEZESHA KUFIKIA HAPO SEMA ASANTE
 |
wazazi wa ruth pamoja na majirani zao katika picha ya pamoja |
 |
Ruth mashaba katika pozi |
 |
denis nyali mtangazaji wa overcomers radio akikabidhi zawadi kwa ruth |
 |
HONGERA RUTH SAMWELI MASHABA |
|
|
|
|
|
|
|
Siku ya ijumaa ya tare 1.2.2013 familia ya mchungaji samweli masaba wa kanisa la aict mkoani iringa
walikuwa na furaha kubwa kutoka kwa binti yao ruth masaba ambaye alihitimu kitado cha sita kutoka shele ya sekondari ya mwembetogwa iliyopo mkoani iringa
0 comments:
Post a Comment