BREAKING NEWZZZZZZZ CHRISTOPHER MTIKILA MWENYEKITI WA DP AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI CHALINZE
Posted by Unknown
Posted on 9:21 AM
with No comments
Taarifa zilizotufikia kupitia kwa kamanda wa Polisi Pwani Jafari Mohamed amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na alifarika saa 12 kasorobo katika kijiji cha Msolwa, Chalinze akiwa kwenye gari ndogo huku wenzake watatu wakijeruhiwa vibaya.
Mtikila alitangaza kugombea Urais kupitia chama chake cha DP lakini chama chake ni moja ya vyama ambavyo vilikatwa kutokana na akutotimiza